Dini ya Uislamu

Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe.

Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingiwa Rehema Mwenye kurehemu. Hakika kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu, tunamhimidi yeye na tunamtaka...

Uislamu una nguzo tano za msingi, kwa uwazi wake nikuwa ni wajibu wa muislamu kulazimiana na nguzo hizo mpaka isadikike...

Na ikifahamika kuwa nguzo za uislamu kuwa ni alama za wazi ambazo anazitekeleza muislamu na kuwa utekelezaji wake unajulisha juu...